Rais Ruto alifanya ziara yake ya Mlima Kenya kwa siku tano huku Wadadisi wasema siasa za Mlima Kenya ni telezi.
Host:
Nimrod Taabu
Wageni Ukumbi
1. Dkt. Allan Mugambi ,Mhadhiri JKUAT
2. John Ka-Wanjiku ,Mbunge Kiambaa
3. Dkt. Peter Mbae ,Aliyekuwa Mkurugenzi GDU
4. Irungu Nyakera , Aliyekuwa mwenyekiti bodi ya KICC
