Mtu mmoja alifariki, huku wengine 10 wakijeruhiwa kwenye ajali ya barabarani eneo la Sironga katika kaunti ya Nyamira.