Mamalaka nchini India zimethibitisha kwamba mtu mmoja amenusurika kifo katika ajali mbaya ya ndege nchini India. Ndege hiyo ya shirika la ndege la India iliyokuwa na watu 242 ilianguka muda mfupi baada ya kupaa angani katika uwanja wa ndege wa Ahmedabad, magharibi mwa India.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw