Zaidi ya watu milioni 1.4 wako Saudi Arabia kwa ibada ya Hajj. Lakini je, unafahamu ibada hii ni nini na inatekelezwa vipi?
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
