Skip to content Skip to sidebar Skip to footer

Donald Trump amuita Putin ‘mwenda wazimu’… katika Dira ya Dunia TV

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kwamba anawazia kuweka vikwazo zaidi dhidi ya Urusi, kutokana na shambulizi la hivi karibuni zaidi la makombora na ndege zisizo na rubani. Shambulio hilo limeripotiwa kuwa kubwa zaidi kuwahi kufanyika tangu kuanza kwa vita vya Urusi na Ukraine.

Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw

Leave a comment

0.0/5

Subscribe for the updates!