Skip to content Skip to sidebar Skip to footer

Zaidi ya watu 200 wafariki katika ajali ya ndege India, katika Dira ya Dunia TV

Mamalaka nchini India zimethibitisha kwamba mtu mmoja amenusurika kifo katika ajali mbaya ya ndege nchini India. Ndege hiyo ya shirika la ndege la India iliyokuwa na watu 242 ilianguka muda mfupi baada ya kupaa angani katika uwanja wa ndege wa Ahmedabad, magharibi mwa India.

Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw

Leave a comment

0.0/5

Subscribe for the updates!